Tag - Vioo vya laptop

Badili kioo cha laptop yako kwa bei ya TZS 170,000

CareTech IT Solutions  tunabadili kioo (Display ya laptop yako) kwa bei ya TZS 170,000 ikiwa ni pamoja na gharama zetu ya ufundi.  Tunavyo vioo tofauti kuanzia ukubwa wa 10.0 inch mpaka 17.0 inch, Fika katika ofisi zetu zilizopo Kijitonyama, Dar es Salaam au waweza kuwasiliana na Kitengo cha masoko na huduma wa wateja kwa simu namba +255782 424029.