IT news

Certified Refurbished Laptops Lenovo Thinkpad 11e- Touch Screen, X131e and X130e – +255782424029

CareTech IT Solutions (Legendary vendors for computers) tunakuja na offer ya certified Refurbished Laptops Lenovo thinkpad.

Neno Refubrished Laptop ni Laptop zilizoboreshwa na kuwa kama mpya.

1. Thinkpad X131e ikiwa na 320GB hard disk, 4GB ram na speed 1.8GHZ Celeron, Free Bag, free wireless mouse na warranty ya Miezi 6. Kwa bei ya TZS 350,000

2. Thinkpad 11e Touch screen ikiwa na 320GB hard disk, 4GB ram na 2.1 GHZ Celeron, Free Bag, Free wireless mouse na warranty ya miezi 6. Kwa bei ya TZS 430,000

Contact us: +255782 424029, email: info@caretech.co.tz Location: Kijitonyama –Dar es Salaam


Jipatie External hard disk Kuanzia 1TB kwa TZS 170,000 tu – +255782 424029

Jipatie external hard disk kwa gharama nafuu kabisa, Kuanzia TZS 170,000 tu kwa 1TB, 250,000 TZS kwa 2TB na 450,000 kwa 4TB.


Je unahitaji power supply kwa ajili ya CCTV camera? – +255782 424029

Jipatie CCTV power supply za uhakika kabisa kuanzia 5A kwa 45,000TZS, 10A kwa 95,000 na 30A- 180,000 TZS. Wasiliana na CARETECH huduma kwa wateja kwa simu namba +255782 424029. Au Fika katika ofisi zetu zilizopo Kijitonyama Dar es Salaam.


Je unahitaji Data Cabinet? 4U hadi 42U size, bila kusahau PDU- +255782 424029

Jipatie Data Cabinet toka CareTech IT Solutions kunzia 4U, 9U, 12U, 15U, 18U, 22U na 42U. Kupata bei zake wasiliana na CARETECH kitengo cha huduma kwa wateja kwa simu namba 0782 424029, email: info@caretech.co.tz bila kusahau PDU za 6 ways zipo pia.


NVR, DVR, Camera za HIKVISION zinapatikana CARETECH – +255782 424029

Jipatie camera za HIKVISION katika uwezo tofauti kuanzia 1MP mpaka 4MP kwa bei kuanzia TZS 60,000 na kuendelea. NVR pamoja na DVR za HIKVISION kwa bei nafuu, Wasiliana nasi kwa simu namba +255782 424029 au Fika katika ofisi zetu zilizopo barabara ya Salma Kikwete, Kijitonyama.


Je unahitaji Lenovo Thinkpad series T440s, T450s, T470s, na Zingine kama X130e, X131e, pamoja na X140e

CareTech IT Solutions ni wauzaji wa vifaa vya ICT ikiwa ni pamoja na Laptop aina zote, Jipatie Lenovo thinkpad T440s mpaka T470s kwa bei ya kuanzia TZS 750,000, Pamoja na Lenovo thinkpad X130e mpaka X40e kwa bei ya TZS 380,000. Fika katika ofisi zetu zilizopo kijitonyama Dar es Salaam au wasiliana nasi kwa simu namba 0782 424029.


Jipatie refurbished Lenovo ThinkPad kwa bei nafuu kabisa – +255782 424029

Jipatie Lenovo Thinkpad T450s ikiwa na 500GB hard disk, 8GB RAM core i5 kwa bei ya TZS 700,000. Pia tuna Lenovo X230 ikiwa na 250GB hard disk, 4GB ram core i5 kwa bei ya TZS 380,000. Fika katika ofisi zetu ujipatie laptop hizi.


Je unahitaji CCTV Camera zenye ubora wa hali ya juu?- +255782 424029

CareTech IT Solutions ni wauzaji wa CCTV Camera na mafundi wenye uzoefu mkubwa katika kufunga mifumo ya ulinzi katika nyumba yako au ofisi yako. Gharama zetu ni nafuu sana katika utoaji wa huduma hizi. Wasiliana nasi kwa simu namba 0782 424029 au fika katika Ofisi zetu zilizopo Kijitonyama Dar es Salaam.


Je unahitaji Laptop HP Elitebook? Na unafahamu tofauti ya HP Elitebook na HP Probook? – +255782 424029

Jipatie HP Elitebook toka CareTech IT Solutions, ikiwa na ukubwa wa 500GB hard disk, 8GB RAM na speed ya 2.2GHZ core i5 kwa bei ya TZS 850,000. Fika katika ofisi zetu zilizopo kijitonyama na kariakoo uweze kujipatia au wasiliana na kitengo cha masoko na huduma kwa wateja kwa simu namba +255782 424029, barua pepe info@caretech.co.tz