Tag - Imac for production

Jipatie MacBook Pro, Imac kwa shughuli za graphics na production – +255782 424029

Jipatie MacBook Pro, Imac kwa ajili ya shughuli za graphics na production kwa gharama nafuu kabisa kutoka CareTech IT Solutions. Kwa Macbook zote ni kuanzia TZS 1,500,000 na Imac ni kuanzia 1,900,000 TZS. Bidhaa zetu zote zina warranty ya mwaka moja. Wasiliana nasi kwa simu namba +255782 424029, barua pepe info@caretech.co.tz, tovuti yetu ni www.caretech.co.tz